David Livingstone

Henry Morton Stanley akikutana na David Livingstone huko Ujiji

Sanamu ya Livingstone huko Victoria Falls (Zimbabwe)
David Livingstone (*19 Machi 1813 – +4 Mei 1873) alikuwa misionari na mpelelezi kutoka Uskoti katika Afrika ya kusini na kati. Alijulikana kwa jitihada zake za kupambana na biashara ya watumwa na safari za kati ya Afrika ya Kusini na Tanganyika hadi Kongo.
History ni nzuri sana
JibuFutaUsijali bwana john uria endelea kufatia blog hii kwani utapata mengi mazuli
FutaUsijali bwana john uria endelea kufatia blog hii kwani utapata mengi mazuli
FutaPoa poa endelea kufatilia utapata mambo mengi mazuli
JibuFutaPoa poa endelea kufatilia utapata mambo mengi mazuli
JibuFuta