Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (au: ya Kidachi) ilikuwa jina la koloni yaUjerumani huko Afrika ya Mashariki kati ya 1885 hadi 1918/1919.
Eneo lake lilijumlisha nchi za kisasa zaTanzania bara (bila Zanzibar), Burundina Rwanda. Ilikuwa koloni kubwa kabisa ya Dola la Ujeruman
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni