Jumamosi, 26 Desemba 2015

History of Tanganyika and its effects



COUNTRY Tanganyika was reviewed by colonists of three types; Portuguese, Germans and British. All of them came with only one goal to seek wealth through trade or craft agricultural production and exploitation.
Portuguese:
They did not have a very big impact despite the cashew crop to leave us with words in the vocabulary of Kiswahili (napkins, prison, etc.).
Germans and Britons:
They trade of ivory and slaves to the slave trade market lilipokufa were first thought had nothing to put an end to behold where.
They brought Christianity, they founded a school of arithmetic, reading and writing. They made it to the followers of Christianity could read the scriptures and find the tax clerks and officers of the countryside.
European invaluable source of opium Africans and make them despise Africanity and its elements. Then govern mentally.
Education:
The era of colonialism (especially the British) were mission schools and the colonial government. Students who have been reading must be Christians to be available carriers of the Word.
In the Muslim state had no chance because education is offered for religious instruction than others. However, there were few Muslims who have studied other directly converted others to change for some time after graduation they turn to Islam.
Baada ya uhuru:
Idadi ya wasomi kubwa ilikuwa ni Wakristo hiyo inakuja akilini kulingana na mfumo wa elimu ya kikoloni. Walikuwepo Waislamu wachache sana wenye shahada za Chuo Kikuu.
Shule ziliendelea kuwa chini ya Makanisa na serikali lakini nyingi za misheni. Mpaka baada ya Azimio la Arusha ambapo miaka ya 70 shule nyingi zilikuwa za serikali. Shule nyingi za seminari za Kikristo ziliendelea kuwa chini ya misheni.
Hivyo ina maana hata baada ya uhuru wanafunzi wa Kikristo walikuwa na nafasi nyingi zaidi za kusoma. Idadi kubwa ya Waislamu imeanza kusoma miaka ya sabini. Kwa mtazamo huo pia si rahisi wasomi wa pande hizo mbili kulingana kwa idadi. Wakati Waislamu wanaanza kutembea wenzao wanakimbia. Tofauti hiyo bado ipo hadi kesho.
Msimamo:
Historia ina kazi moja ya kumuonesha mtu au jamii inakotoka ili atathmini matatizo na mafanikio ya wakati ule. Hapa tunaona kuwa Muislamu hakuwa na jinsi bali alijikuta katika mfumo wenye kupendelea upande mmoja kwa sababu elimu ililetwa na watu wa upande ule kwa hiyo wangenufaika zaidi wafuasi wao. Historia inatuwezesha sisi kutathmini hapa tulipo tunafanya nini? Tunafanikiwa au tunavurunda? Tukishatathmini maendeleo yetu ya sasa historia inatutaka tufikirie mipango na mikakati ya baadaye kulingana na hali ya sasa.
Historia ya Tanganyika imetuachia makovu makubwa sana. Gazeti letu tukufu limejitahidi sana kuyaonesha makovu hayo. Kwa kipindi chote cha uhai wake gazeti limekuwa likionesha athari za mfumo wa tawala za nyuma kwa Waislamu.
Tunaporejea kutaja makovu yaliyoachwa na mfumo wa siasa zilizopita na zilizopo ni sawa na kufanya maombolezo. Maombolezo yana muda wake si vizuri kupoteza muda wetu mwingi kuomboleza. Kufanya hivyo ni kuitia simanzi nyoyo zetu na tusijue la kufanya. Kinachotakiwa sasa je Waislamu tufanyeje ili tuondokane na hayo? Tukizingatia kuwa serikali ina mkono wake.
--
JuuRUDI 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni