Ijumaa, 25 Desemba 2015

              JE WAJUWA

Usultani wa Zanzibar

Eneo la Usultani wa Zanzibar mnamo 1885
Usultani wa Zanzibar ulikuwa nchi kwenye pwani ya Afrika mashariki kati ya 1856 na 1964.
Tangu 1890 ilikuwa nchi lindwa chini yaUingereza.
Ilianzishwa wakati wa kugawa Usultaniwa Omani mwaka 1856 ikaishia mwaka1964 baada ya mapinduzi ya Zanzibar na muungano na Tanganyika uliozaaTanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni