Ijumaa, 25 Desemba 2015

             MJI MKUU WA KOLONI
                            YA
                   KIJERUMANI
Aprili 1888 sultani wa zanzibar alikodidisha eneo LA pwani kwa kampuni ya kijerumani kwa Afrika ya mashariki walianzisha makao makuu yao Bagamoyo ukalimu wa kampuni ulisa
babisha katika muda Wa wiki chache ghasia ya wenyeji Wa pwani iliyokuwa vita ya Abushiri ikakandaminzwa na wanajeshi wa ujerumani mnamo mwaka 1890 Serikali ya ujerumani ilichukuwa madaraka utawala badala ya kampuni halafu mji mkuu ukahamishiwa  Dar es salaam.
Umuhimu wa Bagamoyo ulianza kupungua tena kwa sababu meli kubwa zilitumia bandari ya Dar es saalam badala ya Bagamoyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni