HI NI HISTORY YA TANGA
Mji wa Tanga ni mji mkuu wa Mkoa wa Tanga uliyoko ufukoni mwa Bahari ya Hindi. Tanga ina bandari kubwa kabisa katika sehumu ya kaskazini mwaTanzania. Njia ya reli kwenda Mji waMoshi inaanza hapa.
Jina hili la mji wa Tanga lilitokana neno la Kiajemi lenye maana nne tofauti ambazo ni: Iliyo nyooka; Bonde lenye rutuba; Barabara upande wa mto na Shamba juu ya mlima, neno hilohilo laTanga kwa kabila la Kibondei ambalo ni wenyeji wa mkoa huo linamaana ya shamba, wao hulitamka N'tanga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni